News and Events Change View → Listing

Uimarishaji mahusiano na Jamhuri ya Msumbiji

Tarehe 22-07-2024 Mhe. Maj. Gen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri alifanya mazungumzo na Mhe. Sergio Nathu CABA, Balozi wa Jamhuri ya Msumbiji nchini Misri kwa…

Read More

Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili yafana kipekee nchini Misri

Mhe. Maj Gen Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mashirikiano na Diaspora, waliopo Misri, Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Al Azhar, Cairo, Ain Shams na Aswan pamoja na wanafunzi…

Read More

Mhe. Balozi ashawishi wawekezaji kuja nchini Tanzania

Mej. Jen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri katika juhudi za kutafuta Wawekezaji, ametembelea Ofisi za Kampuni ya Mijo Auto PVT Co. Ltd yenye Makao Makuu yake…

Read More

Utafutaji wa wawekezaji nchini Misri wazidi kwa kasi

Mej. Jen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri ameitembelea kampuni ya Multipharm ya Assiut nchini Misri ikiwa ni juhudi za kutafuta wawekezaji kwa ajili ya kuingiza…

Read More

Spika wa Bunge ziarani nchini Misri

Mhe. Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia  ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) tarehe 22/5/2024  alianza ziara yake ya siku 3 nchini Misri kufuatia mwaliko…

Read More

Jitihada za kutafuta wawekezaji kutoka nchini Misri

Mhe. Mej. Jen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri tarehe 19/05/2024 ameitembelea Kampuni ya SITES International yenye Makao yake katika mji wa Mansouria Haram,…

Read More

RAIS WA MISRI ATUMA SALAMU ZA PONGEZI ZA KUTIMIZA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi leo tarehe 24/04/2024 ametuma ujumbe maalum kwa kumtuma Afisa kutoka Ikulu Bw. Mohamed Mokhtar kuwasilisha salamu za pongezi za kutimiza miaka 60…

Read More