PUBLIC NOTICE: IMPLEMENTATION OF INBOUND TRAVEL INSURANCE FOR FOREIGN VISITORS ENTERING MAINLAND TANZANIA
Read More
Tarehe 26.06.2026, Mhe. Maj Gen Richard Makanzo, Balozi wa Tanzania nchini Misri, alishiriki katika hafla ya kufunga mwaka ya Hospitali ya Nile of Hope Pediatric Surgeries & Congenital Anomalies Hospital…
Read MoreTarehe 05 May 2026 Mheshimiwa Meja Jenerali Richard Mutayoba Makanzo aliwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mheshimiwa Jenerali Joseph Aoun, Rais wa Jamhuri ya Lebanon, katika Ikulu ya nchi hiyo jijini…
Read MoreSerikali ya Tanzania imeshiriki katika Mkutano wa 21 wa Mawaziri wa Nishati wa Afrika Mashariki uliofanyika Cairo, Misri, ukiwa na lengo la kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika biashara ya umeme kupitia…
Read MoreNaibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Mhe. Balozi Meja Jenerali Richard M. Makanzo, pamoja na…
Read MoreUbalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri, tarehe 26 Aprili 2026, uliadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika hafla maalum iliyofanyika katika Hoteli ya Cairo Marriott…
Read MoreMheshimiwa Balozi Maj. Gen. Richard M. Makanzo tarehe 01.04.2026 alifanya ziara rasmi katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, akipokelewa na viongozi waandamizi wa sekta ya usalama,…
Read MoreTarehe 29-03-2026 Mhe. Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri Mej Jen. Richard M.Makanzo alikutana na Mhe. Lt. Gen. Eng. Kamel Alwazeer, Naibu Waziri Mkuu wa Maendeleo…
Read More