News and Events Change View → Listing

Mhe. Balozi Atembelea Mradi wa ILMONTE GALALA

Mhe. Meja Jenerali Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri akiwa na ujumbe wa Tanzania uliofika nchini Misri kuhamasisha uwekezaji nchini Tanzania unaoongozwa na Mhe.…

Read More

Mhe. Balozi Aongoza Kongamano la Kuhamasisha Uwekezaji nchini Tanzania

Tarehe 23 Januari, 2025 Mhe. Meja Jenerali Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri akiwa na Maafisa wa Ubalozi, Maafisa kutoka TIC, Wizara ya Kilimo, TPA na Sekta…

Read More

SAVE THE DATE

PLEASE SAVE THE DATE FOR THE AFRICA ENERGY  SUMMIT (DAR ES SALAAM), JANUARY 27-28, 2025.

Read More

Washiriki wa 12th World Urban Forum, 2024 Wakutana na Balozi, Cairo

Mheshimiwa Meja Jenerali Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri, emeonana na Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki Mkutano wa 12 wa World Urban Forum (WUF12) wakiongozwa na…

Read More

Timu ya Taifa ya Vijana yatua Misri

Tarehe 06 Novemba, 2024, saa 2:00 usiku Mhe. Meja Jenerali Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri, alifika uwanja wa 30th June, Stadium uliopo New Cairo, nchini Misri…

Read More

Mhe. Balozi aitembelea Kampuni ya PCE

Tarehe 31 Oktoba, 2024 Mhe. Meja Jenerali Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri katika jitihada za utekelezaji wa Diplomasia ya uchumi ameitembelea kampuni ya…

Read More

TANGAZO KWA WATANZANIA WALIOPO NCHINI LEBANON

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioko Cairo - Misri unawatangazia Watanzania wote waishio nchini Lebanon kuwasiliana na Ubalozi kwa mawasiliano yafuatayo:-Mawasiliano ya Ofisi:Simu: +20 333 74…

Read More

ZANZIBAR - TRAVEL ADVICE ON MANDATORY INBOUND TRAVEL INSURANCE COVER STARTING FROM 1ST OCTOBER 2024

The Revolutionary Government of Zanzibar has issued a travel advice notification that starting from 1st October 2024, it will be mandatory for all foreign visitors to acquire inbound travel insurance cover (of…

Read More