Wanafunzi wa Shule ya Feza Primary - Kawe wamtembelea Mhe. Balozi
Leo tarehe 04/08/2022 Mhe. Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa ofisini kwake alitembelewa na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya msingi ya Feza – Kawe waliopo nchini Misri kwa… Read More