News and Resources Change View → Listing

Mhe. Balozi katika Picha ya pamoja na wamiliki wa kiwanda cha Alsaratex

Ubalozi wa Tanzania Nchini Misri umeendelea na jitihada za kutafuta wawekezaji

Mhe. Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi siku ya tarehe 12/09/2022 akiambatana na Afisa wa Ubalozi Mhe. Suleiman R. Haroun walifanya ziara ya kikazi mkoani Buheira kutembelea kiwanda cha Al Saratex kinachojihusisha na…

Read More

Waziri wa Nchi apokelewa na Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel J. Nchimbi

Mhe. Jenista Joakim Mhagama (MB), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na  Utawala Bora  aliwasili Cairo, Misri tarehe 31 Agosti, 2022 kuhudhuria Mkutano wa nne wa kawaida wa Kamati ya…

Read More

announcement

Dear colleagues,The Embassy of the United Republic of Tanzania  in Cairo -  Egypt has changed its Email address to be    info.cairo@nje.go.tzPlease don’t use the old one that is: …

Read More

Wanafunzi wa Shule ya Feza Primary - Kawe wamtembelea Mhe. Balozi

Leo tarehe 04/08/2022 Mhe. Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa ofisini kwake alitembelewa na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya msingi ya Feza – Kawe waliopo…

Read More

Kongamano Kubwa la Siku ya Kiswahili laadhimishwa nchini Misri

Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri aliadhimisha kwa mara ya kwanza Kongamano la siku ya Kiswahili Duniani katika ukumbi wa Umoja wa Wanafunzi wa Kimisri…

Read More

Pape Osmane Sakho akaribishwa Misri

Siku ya tarehe 23/07/2022 Balozi wa Tanzania nchini Misri Mhe. Emmanuel John Nchimbi akiwa na mchezaji wa Simba Pape Osmane Sakho, aliyebeba tuzo ya kiatu cha dhahabu cha mfungaji wa bao bora la Africa 2022 na…

Read More

Mhe. Balozi akutana na Uongozi wa Mamlaka za Huduma ya Afya – Misri

Tarehe 21/07/2022, Mhe. Balozi alikutana viongozi wa Mamlaka ya Huduma za Afya nchini Misri kupitia Idara ya uhamasishaji wa huduma za Afya kupitia utalii(medical tourism department). Mamlaka hiyo inakusudia…

Read More

Mhe Balozi azidi kushawizi Uwekezaji nchini Tanzania

Tarehe 21/07/2022 Mhe. Balozi alikutana na wawekezaji kutoka taasisi ya African-Asian Union (AFASU) inayokusanya wafanyabiashara wakubwa katika sekta za utalii, viwanda, uvuvi, ujenzi na elimu. Kampuni hii…

Read More