Bilateral Relation Change View → Listing

Dkt Nchimbi apokea Salamu za Pongezi kwa niaba ya Mhe. Rais Samia

Rais Abdel Fattah El Sisi ametuma salamu za kumtakia kheri Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia Siku ya Muungano wa Tanzania.Katika salaam hizo zilizowasilishwa kwa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi siku ya…

Read More

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ziarani nchini Misri

Mhe.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza kwenye Mkutano wa Waandishi wa Habari baada ya kikao cha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Sameh Shoukry tarehe…

Read More

MISRI YASEMA IKO TAYARI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA MAENDELEO ZA TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mhe. Sameh Shoukry aliongea kwa njia ya simu siku ya Jumapili 05 Juni, 2022 na Mhe. Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…

Read More

Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimi apokea salamu kutoka kwa Rais wa Misri

Tarehe 20-04-2022 Mjumbe maalum wa Rais Abdel fatah Alsis, Bw. Ahmed Reda amemtembelea balozi wa Tanzania Nchini Misri Dr Emmanuel Nchimbi ili kufikisha Salaam kwa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu…

Read More

Kikao baina ya Mhe. Maj. Gen. Bahati na Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Nje - Misri

Mhe, Balozi Maj Gen Bahati akifanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Nje wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri Maj Gen Rashid Abdelfatah ambapo Misri imetoa ufadhili wa masomo ya miaka miwili kwa…

Read More

Egypt and Tanzania: 35 years of Mutual Cooperation for Peace and Development

Egypt and Tanzania: 35 years, of Mutual Cooperation for Peace and Development Nasser and Nyerere Established the Relations Bases. El-Sisi and Magufuli Lead Take off to the Future

Read More