Maadhimisho ya siku ya Kiswahili Duniani nchini Misri yanoga
Tarehe 07 Julai, 2025 Ubalozi wa Tanzania nchini Misri umeadhimisha siku Lugha ya ya Kiswahili Duniani kwa mafanikio makubwa ambapo vijana wa Misri walionesha umahiri wao mkubwa katika kukitumia Kiswahili…
Read More






