News and Events Change View → Listing

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania nchini Misri waiaga Timu ya Simba SC

Leo tarehe 06-04-2024 Brig. Jen. Ismail Shajack Ismail pamoja na Maafisa Ubalozi  walifika katika Hoteli waliyofikia Timu ya Simba Sc na kuambatana nao hadi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Cairo kwa ajili…

Read More

Ubalozi waipokea timu ya Simba Sc

Siku ya tarehe 03/04/2024 Mhe. Brigedia Jen. Ismail Shajack Ismail (Kaimu Balozi) akiambatana na Maafisa wa Ubalozi walifika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Cairo kwa ajili ya kupokea ujumbe na timu ya simba…

Read More

Mhe. Balozi atatua kero za Madaktari Bingwa

Mhe. Mej. Jen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri tarehe 22/03/2024 alikutana na Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Vyuo mbali mbali vilivyopo Alexandria kujua…

Read More

Mhe. Balozi akutana na Diaspora

Tarehe 21 Machi, 2024 Mhe. Mej. Jen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri alikutana na Watanzania wanaoishi Cairo nchini Misri kwa lengo la kufahamiana na kupeana…

Read More

Pumzika kwa Amani Mhe Rais wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi

Mhe. Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri, Menejimenti, Watumishi Wenyeji wa Ubalozini na Wana Diaspora wote waishio nchini Misri wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mhe. Ali…

Read More

Mhe. Balozi akutana na Uongozi wa Timu ya Yanga na wachezaji

Mhe. Mej. Jen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri tarehe 28 Februari, 2024 wakati wa jioni amefika uwanja wa Cairo International Stadium, kuangalia mazoezi ya…

Read More

TANZANIA NA PALESTINA KUIMARISHA ZAIDI UHUSIANO NA USHIRIKIANO

Tarehe 15/02/2024 Mhe. Mej. Jen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri alimtembelea Mhe. Diab Allouh, Balozi wa Palestina nchini Misri kwa lengo la kujitambulisha…

Read More

MISRI YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUIMARISHA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI

Tarehe 07 Februari, 2024 Mhe. Mej. Jen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri alifanya mazungumzo na Profesa Saad Mousa, Msimamizi wa Mahusiano Kutoka Wizara ya…

Read More