News and Events Change View → Listing

SEKTA YA AFYA NCHINI TANZANIA KUIMARIKA ZAIDI

Tarehe 06 Februari, 2024 Mhe. Mej. Gen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri akiwa na Timu ya wakaguzi wa Dawa na Vifaa Tiba kutoka Tanzania Medicines and Medical…

Read More

UTEKELEZAJI DIPLOMASIA YA UCHUMI WAZIDI KUIMARIKA

Tarehe 05/2/2024 Mhe. Mej. Gen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri alifanya ziara kuitembelea Taasisi ya Arab Organization for Industrialization (AOI) katika mji…

Read More

Mhe. Balozi aambatana na Wakaguzi wa Viwanda vya Madawa (TMDA) kutoka Tanzania kukagua Viwanda vya Madawa

Tarehe 29 Januari, 2024 Mhe. Mej. Gen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri ameambatana na wakaguzi wa viwanda vya Madawa kutoka Tanzania Medical Drugs Authority…

Read More

Mhe. Balozi ashuhudia zoezi la Ukaguzi wa Kiwanda cha Global Pharmaceutical Group (GPI)

Tarehe 31 Januari, 2024 Mhe. Mej. Gen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri akiwa na Wakaguzi kutoka Tanzania Medical and Drug Authority (TMDA) ameshiriki ukaguzi wa…

Read More

Mhe. Balozi akagua miradi ya Kampuni ya ROWAD MODERN ENGINEERING

Siku ya tarehe 08 Januari, 2023, Mhe. Balozi Mej. Gen. Richard Mutayoba Makanzo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri ameambatana na Maafisa wa Ubalozi kuitembelea Kampuni ya Rowad Modern…

Read More

SERIKALI YA MISRI YAMUAGA  BALOZI NCHIMBI

Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Sameh Shoukry amemshukuru Balozi wa Tanzania nchini Misri anaemaliza muda wake Dr. Emmanuel Nchimbi kwa kazi kubwa aliyofanya ya kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Misri.…

Read More

Timu ya Taifa (mpira wa wavu) yashiriki mashindano ya Afrika nchini Misri

Timu ya Taifa ya Mpira wa Wavu (Volley Ball) inayoshiriki mashindano ya Mataifa ya Afrika imefanikiwa kuingia nafasi ya 16 bora ambapo asubuhi ya leo tarehe 12 Septemba, 2023 watakamilisha ratiba kwa…

Read More