Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioko Cairo - Misri unawatangazia Watanzania wote waishio nchini Lebanon kuwasiliana na Ubalozi kwa mawasiliano yafuatayo:-

Mawasiliano ya Ofisi:
Simu: +20 333 74 155
Barua Pepe: Cairo@nje.go.tz

Mawasiliano ya Maafisa
Bw. Makame I. Makame, Mkuu wa Utawala: +20 10 100 74 286 (Call & WhatsApp)
Bw. Rashid S. Haroun, Mwambata wa Siasa: +20 10 109 63 227 (Call & WhatsApp)

Mawasiliano ni kutokana na mgogoro wa vita unaoendelea. taarifa zako ni MUHIMU KUWEZESHA KUONDOSHWA ENEO LA VITA.

Ubalozi unaendelea kushukuru kwa ushirikiano inaoupata kutoka kwa Watanzania waishio Lebanon.

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Cairo