UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MISRI MBIONI KUTAFUTA WAWEKEZAJI
Read More
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally aliwasili nchini Misri kutokea Tanzania tarehe 05 Juni, 2022 na ujumbe wake wa watu watatu kwa kuitikia mwaliko wa kuhudhuria Mkutano…
Read MoreWaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mhe. Sameh Shoukry aliongea kwa njia ya simu siku ya Jumapili 05 Juni, 2022 na Mhe. Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…
Read MoreUbalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Cairo, Misri uliandaa hafla maalum tarehe 29/04/2022 kwa ajili ya kumtambulisha Balozi mpya Mhe. Emmanuel John Nchimbi kwa Watanzania wanaoishi Cairo, …
Read MoreTarehe 20-04-2022 Mjumbe maalum wa Rais Abdel fatah Alsis, Bw. Ahmed Reda amemtembelea balozi wa Tanzania Nchini Misri Dr Emmanuel Nchimbi ili kufikisha Salaam kwa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu…
Read MoreTarehe 18-04-2022 Mhe. Dkt Emmanuel Nchimbi alipokea katika ofisi yake ujumbe wa shule ya chekechea ya Kwanza International School ya Mikocheni, Dar es Salaam uliokuja nchini Misri na kufanya matembezi ya…
Read MoreMhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania alifanya ziara ya kikazi jijini Banu Suef, nje kidogo ya mji wa Cairo siku ya Ijumaa tarehe 15/04/2022 wakati wa jioni kukagua viwanda…
Read MoreLeo tarehe 31 Machi, 2022 Mhe. Dr Emmanuel John Nchimbi Balozi wa Tanzania nchini Misri amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Abdel Fattah El Sisi Rais Misri. Wakati huo huo, Mhe. Rais…
Read More