News and Events Change View → Listing

Travel Advisory Note on COVID-19 in Tanzania

TRAVEL ADVISORY NOTE NO. 1 OF 23 MARCH, 2020, UPDATE OF Coronavirus Disease (COVID-19) in Tanzania Due to an ongoing outbreak of respiratory illness caused by a novel (new) corona virus (COVID-19) that can be…

Read More

TANGAZO

EMBASSY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA - CAIRO10, Anas Ibn Malik Street – Mohandessin - Cairo A.R.ETelephone : (+202) 33374155    -      Fax : …

Read More

Mhe. Balozi wa Tanzania nchini Misri aimarisha Ushirikiano

Tarehe 28 Januari, 2020, Mhe. Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alikutana na kufanya mazungumzo na Kamati ya Baraza la Wawakilishi la Misri linaloshughulikia masuala ya…

Read More

Balozi Nchini Misri akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa EBA

Tarehe 22 Januari, 2020, Balozi Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Mohamed Youssef, Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya ya Wafanyabiashara ya Misri …

Read More

Mhe. Balozi wa Misri akutana na Uongozi wa E-JUST

Tarehe 16 Januari, 2020, Balozi Anselm Shigongo Bahati alifanya mazungumzo na uongozi wa Chuo Kikuu cha E-JUST kilichopo jijini Alexandira nchini Misri kwa nia ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na…

Read More

Mhe. Balozi Bahati azidi kuwahamasisha Wawekezaji kuekeza nchini Tanzania

Tarehe 09 Januari 2020, Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alitembelea Mji wa Viwanda vya Ngozi wa Robbiki  (Robbiki Leather City) nchini Misri na kukutana na uongozi wa…

Read More

Mhe, Balozi Bahati aimarisha Udugu

Tarehe 08 Januari 2020, Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alikutana na Balozi wa Burundi nchini Misri kwa lengo la kumsalimia na kuimarisha udugu na ushirikiano uliopo kati…

Read More

Ushirikiano baina ya Tanzania na Misri wazidi kuimarika

Tarehe 06 Januari, 2020, Mhe. Meja Jenerali Anselm Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alikutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Elsayed Waziri wa Kilimo na masuala ya Ardhi wa Misri kwa nia ya kumsalimia na…

Read More