News and Events Change View → Listing

Balozi akutana na wawekezaji

Mhe. Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri, tarehe 19 Desemba, 2019 alifanya mazungumzo na Dkt. Muharram Helal, Mwenyekiti wa Kampuni ya 'Supreme Holding' ya Misri…

Read More

Tanzania na Misri kuzidisha Uhusiano na Ushirikiano

Mhe. Atashante Nditiye (MB), Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na  Mawasiliano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kufanya mazungumzo na Dkt. Amr S. Talaat, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya…

Read More
Tanzania ePassports, 2019

Utaratibu wa kupata pasipoti mpya

Baada ya maulizo mengi kuhusu utoaji wa Pasipoti Mpya, ufuatao ni utaratibu wa kushughulikia zoezi hilo katika nchi za uwakilishi wetu*: A. KUNUNUA FOMU Mwombaji anaweza kuja Ubalozini na pasipoti…

Read More

Waziri wa Nishati wa Tanzania atembelea kiwanda cha Petrochemical

Mhe. Medard M. Kalemani (MB) Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipata maelezo wakati alipotembelea kiwanda cha Petrochemical kilichopo mkoani Ain Sokna nchini Misri tarehe 08 Oktoba, 2019.

Read More

Waziri wa Nishati wa Tanzania atembelea kiwanda cha El Sewedy

Mhe. Medard M. Kalemani (MB) Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipewa maelezo kuhusu uzalishaji alipotembelea kiwanda cha "El Sewedy Electric na El Sewedy Transformer." Kilichopo jijini…

Read More

Waziri wa Nishati ziarani nchini Misri

Mhe. Medard M. Kalemani (MB), Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na Mhe. Mohamed Shaker Waziri wa Umeme na Nishati Jadidifu wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri wakati wa ziara yake…

Read More

Tanzania yaimarisha uhusiano na Misri katika sekta ya Nishati

Mhe. Medard M. Kalemani (MB), Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiagana na Mhe. Mohamed Shaker, Waziri wa Umeme na Nishati Jadidifu wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri baada ya mazungumzo yao…

Read More

Waziri wa Nishati Mhe. Kalemani akutana na Waziri wa Petroli wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri

Mhe. Medard M. Kalemani (MB), Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifanya mazungumzo na Mhe. Mhandisi Tarek Al Molla, Waziri wa Petroli wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri tarehe 07 Oktoba, 2019…

Read More