Mhe. Medard M. Kalemani (MB) Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipewa maelezo kuhusu uzalishaji alipotembelea kiwanda cha "El Sewedy Electric na El Sewedy Transformer." Kilichopo jijini Cairo tarehe 08 Oktoba, 2019.