Mhe. Medard M. Kalemani (MB) Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipata maelezo wakati alipotembelea kiwanda cha Petrochemical kilichopo mkoani Ain Sokna nchini Misri tarehe 08 Oktoba, 2019.