Mhe. Medard M. Kalemani (MB), Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiagana na Mhe. Mohamed Shaker, Waziri wa Umeme na Nishati Jadidifu wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika tarehe 07 Oktoba, 2019 jijini Cairo, Misri.