Mhe. Medard M. Kalemani (MB), Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifanya mazungumzo na Mhe. Mhandisi Tarek Al Molla, Waziri wa Petroli wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri tarehe 07 Oktoba, 2019 wakati Mhe. Waziri Kalemani alipofanya ziara ya kikazi nchini Misri.
