News and Events Change View → Listing

Uhusiano kati ya Tanzania na Misri wazidi kukua

Mhe. Medard M. Kalemani (MB) Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiagana na Mhe. Mhandisi Tarek El Molla, Waziri wa Petroli wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri baada ya mazungumzo yao…

Read More

Mhe. Ndugai atembelea Kiwanda cha Lamar

Mhe. Job Y. Ndugai (Mb), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitembelea shamba la Lamar lililopo katika Mkoa wa Alexandria – Misri tarehe 20 Juni, 2019. Akiwa kwenye shamba hilo Mhe. Ndugai…

Read More

Mhe. Ndugai Ziarani Nchini Misri

Mhe. Job Y. Ndugai (Mb), Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cairo tarehe 19 Juni, 2019. Mhe. Spika Ndugai alipokelewa na Mhe. Meja Jenerali Issa …

Read More

Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa atembelea Kiwanda cha ngozi cha Robbiki

Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipewa maelezo kuhusu uzalishaji wa bidhaa za ngozi alipotembelea Kiwanda cha uwekaji thamani wa ngozi cha Harby (Harby…

Read More

Mhe, Majaliwa Ziarani nchini Misri

Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokewa na Mwenyeji wake Mhe. Mostafa Madbouly, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri wakati alipofanya ziara ya kikazi…

Read More

Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa atembelea Mji Mpya wa Kiutawala

Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitembelea Mji Mpya wa Kiutawala wa Cairo (New Administration Capital) siku ya tarehe 08 Julai, 2019 na kupata maelezo ya…

Read More

Mhe. Majaliwa akutana na Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Misri

Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na Mhe. Sahar Nasr, Waziri wa Uwekezaji na Ushirikiano wa Kimataifa wakati wa Mkutano na Wafanyabiashara na Wawekezaji…

Read More

Mh. Ndugai akutana na Naibu Gavana wa Mkoa wa Alexandria

Mhe. Job Y. Ndugai (Mb), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na Bw. Ahmad Gamal Naibu Gavana wa Mkoa wa Alexandria wakati Mhe. Spika alipofanya ziara katika Mkoa huo tarehe 20 Juni,…

Read More