Mhe. Innocent Bashungwa (MB), Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipata maelezo kuhusu uzalishaji wakati alipotembelea kiwanda cha Magari cha Ghabbour Auto cha jijini Cairo, nchini Misri tarehe 24 Novemba, 2019.