News and Events Change View → Listing

Ziara ya Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Misri nchini Tanzania

Ziara ya Mhe. Prof. Ezzaldine Abustiet, Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi nchini Tanzania kuanzia tarehe 03-06 Februari, 2019. Akiwa nchini Tanzania, Prof. Ezzaldine alikutana na viongozi mbali mbali wa…

Read More

Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa BIOANUAI mjini Sharm El Sheikh

Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor, Balozi wa Tanzania nchini Misri akiongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Bioanuai (UN Biodiversity Conference) uliofanyika…

Read More

Ziara ya Kitalii ya ujumbe wa Wafanyabiashara wa Misri

Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Misri ukiongozwa na Dk. Sherif El Gabal ulifanya ziara ya kitalii kwenye mashamba ya viungo (spice tour) katika eneo la Kizimbani Zanzibar tarehe 08 Novemba, 2018 ikiwa ni…

Read More

Kongamano la biashara kati ya Zanzibar na Misri

Mheshimiwa Balozi Amin Salum Ali, Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Zanzibar baada ya kufungua kongamano la Biashara kati ya Zanzibar na Misri tarehe 09 Novemba, 2018. Kabla ya kongamano hilo Mhe.…

Read More

Balozi Issa Suleiman Nassor atembelea kiwanda cha kutengeneza katarasi cha El Taqwa

 Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor, Balozi wa Tanzania nchini Misri alipotembelea kiwanda cha kutengeneza karatasi cha El Taqwa kilichopo nje kidogo ya mji wa Cairo nchini Misri na kufanya…

Read More

UFUNGUZI WA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MISRI

Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Misri limefunguliwa leo katika hoteli ya Hyatt Regency, Dar es Salaam. Kongamano hilo limeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kushirikiana…

Read More

Mazungumzo kati ya Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi na ujumbe wa Wafanyabiashara wa Misri

Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi, Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar akifanya mazungumzo na Ujumbe wa Wafanyabiashara wa Shirikisho la wenye viwanda la Misri tarehe 09 Novemba, 2018 baada ya kongamano la…

Read More

Ziara ya Mhe. Balozi kwenye Kampuni ya Summer Moon ya Alexandria

Mhe. Balozi Issa Suleiman Nassor akikagua baadhi ya bidhaa zinazozalishwa na kiwanda cha kusindika samaki cha Kampuni ya “Summer Moon” kilichopo katika eneo la Borge Arab, Alexandria tarehe 16 Oktoba,…

Read More