Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Misri ukiongozwa na Dk. Sherif El Gabal ulifanya ziara ya kitalii kwenye mashamba ya viungo (spice tour) katika eneo la Kizimbani Zanzibar tarehe 08 Novemba, 2018 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Kongamano la Biashara kati ya Zanzibar na Misri lililofanyika tarehe 09 Novemba, 2018 katika hoteli ya Park Hayatt iliyopo eneo la Mji Mkongwe Zanzibar.
