Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor, Balozi wa Tanzania nchini Misri akiongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Bioanuai (UN Biodiversity Conference) uliofanyika kuanzia tarehe 13 - 29 Novemba, 2018 mjini Sharm el Sheikh, Misri. Pembeni ya Mhe. Balozi ni Bi. Ester Makwaia, Mkurugenzi wa Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
