Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor, Balozi wa Tanzania nchini Misri alipotembelea kiwanda cha kutengeneza karatasi cha El Taqwa kilichopo nje kidogo ya mji wa Cairo nchini Misri na kufanya mazungumzo ya ushirikiano katika kuimarisha biashara na uwekezaji nchini Tanzania tarehe 01 Novemba, 2018.