News and Events Change View → Listing

Mazungumzo kati Mhe. Balozi na Wafanyabiashara wa Behera

Mhe. Balozi Issa Suleiman Nassor akipokea zawadi baada ya Mkutano wake na Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Jimbo la Behera nchini Misri tarehe 17 Oktoba, 2018. Mhe. Balozi Nassor akifuatana na…

Read More

Mhe. Balozi atembelea Chuo cha Ufundi Stadi cha Mubarak mjini Alexandria

Picha ya pamoja kati ya Mhe. Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri na Uongozi wa Chuo cha Mubarak baada ya kutembelea Chuo cha Ufundi Stadi cha Mubarak…

Read More

Mazungumzo kati ya Mhe. Balozi na Jumuiya ya Wafanyabiashara ya Alexandria

Mhe. Balozi Issa Suleiman Nassor akikabidhiwa zawadi baada ya mazungumzo na Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara ya Alexandria (Alexandria Businessmen Association) tarehe 16 Oktoba, 2018. Mazungumzo ya pande…

Read More

Balozi wa Tanzania akutana na Umoja wa Wafanyabiashara wa Misri

Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor, Balozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri  alikutana na Wafanyabiashara zaidi ya 30 kutoka Jumuiya ya Wafanyabishara  wa Misri (Egyptian…

Read More
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kushoto akizungumza na Ujumbe wa Viongozi Wanane wa Taasisi za Uwekezaji kutoka Nchini Misri hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.

Balozi Seif Akutana na Ujumbe Wa Wawekezaji Kutoka Nchini Misri

Zanzibar inaweza kuimarika zaidi kiuchumi, Maendeleo na Ustawi wa Jamii endapo uwekezaji katika Sekta ya Utalii, ujenzi wa Miji Mipya ya Nyumba za Makaazi ya Wananchi wa kawaida, Uvuvi, pamoja na Mifugo…

Read More

Tanzania Ambassador H.E Maj.Gen Issa Nassor Paid a Courtesy Call to Kenyan Ambassador in Egypt

H.E. Maj. Gen. Issa Suleiman Nassor, Ambassador of the Republic of Tanzania in Egypt paid a courtesy call on H.E. Ambassador Maj. Gen. Otieno Joff (KAF Rtd), on 30th January, 2018. The two Ambassadors…

Read More

Misri, Tanzania wakutana kuimarisha ushirikiano

Tanzania na Misri ziimekutana kwenye Mkutano wa JPC uliofanyika kwa ngazi ya wataalamu na Mawaziri kuanzia tarehe 8 hadi 10 januari 2018.Mkutano huo unaandaa misingi ya mkutano wa tatu mawaziri wa JPC…

Read More

Waziri Mkuu Akutana na Mabalozi wa Tanzania Katika Nchi za Misri na Zambia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wa Tanzania nchini Misri, Balozi Meja Jenerali Issa Suleiman Nassoro na Balozi Abdulrahman Kaniki wa Zambia, ambapo amewataka…

Read More