Ziara ya Mhe. Prof. Ezzaldine Abustiet, Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi nchini Tanzania kuanzia tarehe 03-06 Februari, 2019. Akiwa nchini Tanzania, Prof. Ezzaldine alikutana na viongozi mbali mbali wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
