Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi, Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar akifanya mazungumzo na Ujumbe wa Wafanyabiashara wa Shirikisho la wenye viwanda la Misri tarehe 09 Novemba, 2018 baada ya kongamano la Biashara kati ya Zanzibar na Misri. Kwa upande wa Misri mazungumzo yaliongozwa na DK. Sherif El Gabaly, Mwenyekiti wa Kamati ya Ushirikiano wa Afrika katika Shirikisho la wenye viwanda la Misri.
