Mhe. Innocent Bashungwa (MB), Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ubalozi wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania nchini Misri baada ya kuutembelea Ubalozi huo na kufanya mazungumzo na Wafanyakazi wa Ubalozi tarehe 24 Novemba, 2019.