Mhe. Innocent Bashungwa (MB), Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya mazungumzo na uongozi wa Shirikisho la wenye viwanda la Misri tarehe 22 Novemba, 2019 wakati alipohudhuria Kongamano la Uwekezaji la nchi za Afrika kwa mwaka 2019 (Africa Investment Forum 2019) lililofanyika kuanzia tarehe 22-23 Novemba, 2019 jijini Cairo nchini Misri.
