Mhe. Atashante Nditiye (MB), Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kufanya mazungumzo na Dkt. Amr S. Talaat, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri mwezi Novemba, 2019 alipofanya ziara ya kikazi nchini Misri. Mhe. Nditiye na Dkt Amr walikubaliana kuimarisha ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Misri.
