Tarehe 08 Januari 2020, Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alikutana na Balozi wa Burundi nchini Misri kwa lengo la kumsalimia na kuimarisha udugu na ushirikiano uliopo kati ya nchi hizi mbili.
Get all latest updates from the Embassy in Your Inbox