Tarehe 18-04-2022 Mhe. Dkt Emmanuel Nchimbi alipokea katika ofisi yake ujumbe wa shule ya chekechea ya Kwanza International School ya Mikocheni, Dar es Salaam uliokuja nchini Misri na kufanya matembezi ya kielimu katika mkoa wa Cairo na Alexandria  na katika maeneo ya kihistoria yaliyopo nchini Misri.