News and Resources Change View → Listing

Balozi wa Tanzania nchini Misri ashawishi uwekezaji nchini Tanzania

Balozi Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati akipata maelezo ya kiutendaji ya kiwanda cha Kampuni ya gesi ya Supreme ya Misri tarehe 02 Januari, 2020. Balozi Meja Jenerali Bahati ametembelea kiwanda hicho na…

Read More

Mhe. Balozi Bahati Asisitiza Mshikamano kwa Watanzania

Mhe. Balozi Meja Jeneral Anselm Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri akizungumza na viongozi wa Jumuiya za Watanzania waishio nchini Misri na Jumuiya ya wanafunzi wa Tanzania wanaosoma nchini Misri tarehe…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Misri Awasilisha Hati za Utambulisho

Mhe. Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati Balozi wa Tanzania nchini Misri awasilisha nakala za Hati za Utambulisho kwa Mhe. Hamdi Loza, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri anayeshughulikia masuala ya Afrika…

Read More

Waziri wa Viwanda na Biashara afanya mazungumzo na Ubalozi wa Cairo

Mhe. Innocent Bashungwa (MB), Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ubalozi wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania nchini Misri baada…

Read More

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Bashungwa atembelea kiwanda cha Ghabbour Auto

Mhe. Innocent Bashungwa (MB), Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipata maelezo kuhusu uzalishaji wakati alipotembelea kiwanda cha Magari cha Ghabbour Auto cha jijini Cairo,…

Read More

Waziri wa Viwanda na Biashara ahamasisha uwekezaji nchini Tanzania

Mhe. Innocent Bashungwa (MB), Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifanya mazungumzo na Mhandisi Ahmed El Sewedy, Mwenyekiti wa Kampuni ya El Sewedy Electric ya Misri tarehe 23…

Read More

Waziri wa Viwanda na Biashara ahudhuria Kongamano la Uwekezaji

Mhe. Innocent Bashungwa (MB), Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya mazungumzo na uongozi wa Shirikisho la wenye viwanda la Misri tarehe 22 Novemba, 2019 wakati…

Read More

Scout-Tanzania wafanya ziara katika Ubalozi wa Tanzania nchini Misri

Mhe, Meja Jenerali Anselm S. Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri atembelewa na vijana wa Scout-Tanzania wakiongozwa na Bw. Faustin Magige Kamishna Msaidizi wa Scout-Tanzania, tarehe 20 Desemba, 2019. Mhe.…

Read More