News and Resources Change View → Listing

Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimi apokea salamu kutoka kwa Rais wa Misri

Tarehe 20-04-2022 Mjumbe maalum wa Rais Abdel fatah Alsis, Bw. Ahmed Reda amemtembelea balozi wa Tanzania Nchini Misri Dr Emmanuel Nchimbi ili kufikisha Salaam kwa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu…

Read More

Kwanza International School watembelea Ubalozi - Cairo

Tarehe 18-04-2022 Mhe. Dkt Emmanuel Nchimbi alipokea katika ofisi yake ujumbe wa shule ya chekechea ya Kwanza International School ya Mikocheni, Dar es Salaam uliokuja nchini Misri na kufanya matembezi ya…

Read More

Balozi Dkt.  Emmanuel Nchimbi atembelea viwanda vya SMART GROUP

Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania alifanya ziara ya kikazi jijini Banu Suef, nje kidogo ya mji wa Cairo siku ya Ijumaa tarehe 15/04/2022 wakati wa jioni kukagua viwanda…

Read More

Balozi Dr. Nchimbi awasilisha Hati

Leo tarehe 31 Machi, 2022 Mhe. Dr Emmanuel John Nchimbi Balozi wa Tanzania nchini Misri amewasilisha  Hati za Utambulisho kwa Mhe. Abdel Fattah El Sisi Rais Misri. Wakati huo huo, Mhe. Rais…

Read More
Afisa Utawala katika Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Misri Bw. Makame Iddi Makame akimkabidhi Mhe. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi dondoo za makabidhiano zilizoachwa na Mtangulizi wake Mhe.Mej Jen (Mst) Anselm S. Bahati.

Kuwasili Rasmi Kituoni Mhe. Dr. Emmanuel John Nchimbi

Balozi mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri Mhe. Dr. Emmanuel John Nchimbi amewasili na kupokelewa rasmi na Maafisa wa Ubalozi jana tarehe 01 Machi, 2022 saa :00 usiku kwa majira ya Cairo.Mhe.…

Read More

Kikao baina ya Mhe. Maj. Gen. Bahati na Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Nje - Misri

Mhe, Balozi Maj Gen Bahati akifanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Nje wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri Maj Gen Rashid Abdelfatah ambapo Misri imetoa ufadhili wa masomo ya miaka miwili kwa…

Read More

Tanzania yashiriki kongamano la uwekezaji nchini Misri

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - (Uwekezaji) Mhe. Geoffrey I. Mwambe na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Dkt. Maduhu. I. Kazi  wameshiriki katika kongamano la Taasisi za…

Read More
Her Excellency Samia Suluhu Hassan as 6th President of the United Republic of Tanzania

Congratulations to Her Excellency Samia Suluhu Hassan

Congratulations to Her Excellency Samia Suluhu Hassan as 6th President of the United Republic of Tanzania

Read More