Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitembelea Mji Mpya wa Kiutawala wa Cairo (New Administration Capital) siku ya tarehe 08 Julai, 2019 na kupata maelezo ya kina kuhusu uendeshaji na uendelezaji wa Mji huo Mpya wa Kiutawala wa Cairo.