Picha ya pamoja kati ya ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Balozi wa Tanzania nchini Misri akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salam na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar baada ya kuweka saini hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar na Chuo Kikuu cha Alexandria tarehe 05 Aprili, 2019.