Mhe. Medard M. Kalemani (MB) Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiagana na Mhe. Mhandisi Tarek El Molla, Waziri wa Petroli wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika tarehe 07 Oktoba, 2019 jijini Cairo, Misri.
