Mhe. Job Y. Ndugai (Mb), Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cairo tarehe 19 Juni, 2019. Mhe. Spika Ndugai alipokelewa na Mhe. Meja Jenerali Issa  Suleiman Nassor, Balozi wa Tanzania nchini Misri, Bw. El Said El Shariff, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Misri na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Urafiki ya Mabunge ya Tanzania na Misri.