Mhe, Kangi Lugola (MP), Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipata maelezo kutoka kwa Jenerali Mohamed Tarek El Asset, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya uraia wa Misri tarehe 04 Mei, 2019 baada ya kufanya mazungumzo yao.

Tarehe 04 Mei, 2019 Mhe. Kangi A. Lugola (MB), Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na Mhe. Meja Jenerali Mahmoud Taufiq, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri wakiweka saini ya Makubaliano ya Ushirikiano katika masuala ya Zimamoto na Uokoaji kati ya Tanzania na Misri.

  • Uwekaji wa saini wa Hati hiyo ya Makubaliano ya Ushirikiano ulifanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Cairo nchini Misri.Uwekaji wa saini wa Hati hiyo ya Makubaliano ya Ushirikiano ulifanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Cairo nchini Misri.