Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi Balozi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri leo tarehe 22 Machi, 2023 ametembelewa ofisini kwake na ujumbe kutoka Benki ya CRDB uliopo nchini Misri kwa ajili ya kubadilishana ujuzi na  Taasisi  mbalimbali za Kiserikali zinazojihusisha na huduma za kifedha nchini Misri, Ujumbe huo uliongozwa na Bwana Stephene Adili akiambatana na Bi. Mwanaisha K. Kejo, Bi. Joseline Kamuhanda na Bw. Farid Said.