Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasilisha Hati ya utambulisho kwa Mhe. Mahmoud Abbas, Rais wa Taifa la Palestine tarehe 06 Januari, 2019.