Mhe. Balozi Anselm Shigongo Bahati amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Dkt. Isaac F.Kalumuna kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki juu ya namna bora ya kuboresha huduma za TEHAMA Ubalozini Cairo ,Misri.
Kikao kazi baina ya Balozi na wataalamu wa TEHAMA kutoka Wizara ya Mambo ya Nje
Mhe.Balozi Anselm Bahati akiongea jambo na Wataalamu wa TEHAMA pamoja na maafisa wa ubalozi Cairo ,Misri
