News and Resources Change View → Listing

Mhe. Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally amtembelea Mhe. Balozi wa Tanzania Nchi Misri nyumbani kwake

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally aliwasili nchini Misri kutokea Tanzania tarehe 05 Juni, 2022 na ujumbe wake wa watu watatu kwa kuitikia mwaliko wa kuhudhuria  Mkutano…

Read More

MISRI YASEMA IKO TAYARI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA MAENDELEO ZA TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mhe. Sameh Shoukry aliongea kwa njia ya simu siku ya Jumapili 05 Juni, 2022 na Mhe. Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…

Read More

MHE BALOZI AKUTANA NA WATANZANIA NA KUWAKIRIMU KWA KUFUTARI PAMOJA

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Cairo, Misri uliandaa hafla maalum tarehe 29/04/2022 kwa ajili ya kumtambulisha Balozi mpya Mhe. Emmanuel John Nchimbi kwa Watanzania wanaoishi Cairo, …

Read More

Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimi apokea salamu kutoka kwa Rais wa Misri

Tarehe 20-04-2022 Mjumbe maalum wa Rais Abdel fatah Alsis, Bw. Ahmed Reda amemtembelea balozi wa Tanzania Nchini Misri Dr Emmanuel Nchimbi ili kufikisha Salaam kwa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu…

Read More

Kwanza International School watembelea Ubalozi - Cairo

Tarehe 18-04-2022 Mhe. Dkt Emmanuel Nchimbi alipokea katika ofisi yake ujumbe wa shule ya chekechea ya Kwanza International School ya Mikocheni, Dar es Salaam uliokuja nchini Misri na kufanya matembezi ya…

Read More

Balozi Dkt.  Emmanuel Nchimbi atembelea viwanda vya SMART GROUP

Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania alifanya ziara ya kikazi jijini Banu Suef, nje kidogo ya mji wa Cairo siku ya Ijumaa tarehe 15/04/2022 wakati wa jioni kukagua viwanda…

Read More

Balozi Dr. Nchimbi awasilisha Hati

Leo tarehe 31 Machi, 2022 Mhe. Dr Emmanuel John Nchimbi Balozi wa Tanzania nchini Misri amewasilisha  Hati za Utambulisho kwa Mhe. Abdel Fattah El Sisi Rais Misri. Wakati huo huo, Mhe. Rais…

Read More
Afisa Utawala katika Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Misri Bw. Makame Iddi Makame akimkabidhi Mhe. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi dondoo za makabidhiano zilizoachwa na Mtangulizi wake Mhe.Mej Jen (Mst) Anselm S. Bahati.

Kuwasili Rasmi Kituoni Mhe. Dr. Emmanuel John Nchimbi

Balozi mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri Mhe. Dr. Emmanuel John Nchimbi amewasili na kupokelewa rasmi na Maafisa wa Ubalozi jana tarehe 01 Machi, 2022 saa :00 usiku kwa majira ya Cairo.Mhe.…

Read More