News and Resources Change View → Listing

UFUNGUZI WA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MISRI

Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Misri limefunguliwa leo katika hoteli ya Hyatt Regency, Dar es Salaam. Kongamano hilo limeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kushirikiana…

Read More

Mazungumzo kati ya Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi na ujumbe wa Wafanyabiashara wa Misri

Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi, Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar akifanya mazungumzo na Ujumbe wa Wafanyabiashara wa Shirikisho la wenye viwanda la Misri tarehe 09 Novemba, 2018 baada ya kongamano la…

Read More

Ziara ya Mhe. Balozi kwenye Kampuni ya Summer Moon ya Alexandria

Mhe. Balozi Issa Suleiman Nassor akikagua baadhi ya bidhaa zinazozalishwa na kiwanda cha kusindika samaki cha Kampuni ya “Summer Moon” kilichopo katika eneo la Borge Arab, Alexandria tarehe 16 Oktoba,…

Read More

Mazungumzo kati Mhe. Balozi na Wafanyabiashara wa Behera

Mhe. Balozi Issa Suleiman Nassor akipokea zawadi baada ya Mkutano wake na Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Jimbo la Behera nchini Misri tarehe 17 Oktoba, 2018. Mhe. Balozi Nassor akifuatana na…

Read More

Mhe. Balozi atembelea Chuo cha Ufundi Stadi cha Mubarak mjini Alexandria

Picha ya pamoja kati ya Mhe. Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri na Uongozi wa Chuo cha Mubarak baada ya kutembelea Chuo cha Ufundi Stadi cha Mubarak…

Read More

Mazungumzo kati ya Mhe. Balozi na Jumuiya ya Wafanyabiashara ya Alexandria

Mhe. Balozi Issa Suleiman Nassor akikabidhiwa zawadi baada ya mazungumzo na Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara ya Alexandria (Alexandria Businessmen Association) tarehe 16 Oktoba, 2018. Mazungumzo ya pande…

Read More

Balozi wa Tanzania akutana na Umoja wa Wafanyabiashara wa Misri

Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor, Balozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri  alikutana na Wafanyabiashara zaidi ya 30 kutoka Jumuiya ya Wafanyabishara  wa Misri (Egyptian…

Read More

Oil and Gas Sector Investments

There have been several gas discoveries on the coastal shore of the Indian Ocean at Songosongo, Mnazi bay and Mkuranga in Coast Region. These discoveries are catalysts of natural gas developments in Tanzania.…

Read More