News and Resources Change View → Listing

Mhe. Majaliwa akutana na Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Misri

Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na Mhe. Sahar Nasr, Waziri wa Uwekezaji na Ushirikiano wa Kimataifa wakati wa Mkutano na Wafanyabiashara na Wawekezaji…

Read More

Mh. Ndugai akutana na Naibu Gavana wa Mkoa wa Alexandria

Mhe. Job Y. Ndugai (Mb), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na Bw. Ahmad Gamal Naibu Gavana wa Mkoa wa Alexandria wakati Mhe. Spika alipofanya ziara katika Mkoa huo tarehe 20 Juni,…

Read More

NOTICE TO TRAVELLERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

The Government of Tanzania wishes to make an official note to travellers planning to visit Tanzania that from 1st  June 2019 all plastic carrier bags, regardless of their thickness will be prohibited from…

Read More

Online VISA Application (e-VISA)

This is to inform all Visa applicants and the general public that the United Republic of Tanzania has launched Online Visa Application System effective since 10th Jan, 2019. For those who wish to travel…

Read More

NOTICE TO TRAVELLERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

NOTICE TO TRAVELLERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

Read More

Uwekaji wa Saini kati ya Vyuo Vikuu vya Tanzania na Chuo Kikuu cha Alexandria

Tarehe 05 Aprili, 2019, Balozi Issa S. Nassor akiwa na Waziri wa Elimu ya Juu wa Misri wakishuhudia uwekaji saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar na Chuo Kikuu…

Read More

Mhe. Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ya afanya mazungumzo na Mkuu wa Vitambulisho

Mhe, Kangi Lugola (MP), Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipata maelezo kutoka kwa Jenerali Mohamed Tarek El Asset, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya uraia wa…

Read More

Ujumbe wa Tanzania nchini Misri

Picha ya pamoja kati ya ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Balozi wa Tanzania nchini Misri akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salam na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar baada ya kuweka…

Read More