Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipewa maelezo kuhusu uzalishaji wa bidhaa za ngozi alipotembelea Kiwanda cha uwekaji thamani wa ngozi cha Harby (Harby Yannery Factory) kilichopo kwenye Mji wa Viwanda vya ngozi vya Robbiki ( Robbiki Leather City) nchini Misri mnamo tarehe 09 Julai, 2019.
