Uongozi, Menejimenti pamoja na Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki umepokea kwa mshtuko taarifa za kifo cha Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli kilichotokea Machi 17,2021 Dar es Salaam. Uongozi na Wizara kwa ujumla unaungana na Watanzania wote katika maombolezo ya msiba huu mkubwa katika Taifa letu.

Condolences Book