Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokewa na Mwenyeji wake Mhe. Mostafa Madbouly, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri wakati alipofanya ziara ya kikazi nchini Misri kuanzia tarehe 08-10 Julai, 2019.
