News and Events Change View → Listing

Mhe. Balozi akutana na Uongozi wa Mamlaka za Huduma ya Afya – Misri

Tarehe 21/07/2022, Mhe. Balozi alikutana viongozi wa Mamlaka ya Huduma za Afya nchini Misri kupitia Idara ya uhamasishaji wa huduma za Afya kupitia utalii(medical tourism department). Mamlaka hiyo inakusudia…

Read More

MHE BALOZI WA TANZANIA NCHINI – MISRI ASHAWISHI WAFANYA BIASHARA KUNUNUA BIDHAA ZAO NCHINI TANZANIA

Katika hatua za kuendeleza sera ya kupata wawekezaji na wafanyabiashara kutoka nje, Mhe Dkt. Emmanuel J.Nchimbi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri siku ya tarehe 05/07/2022 alifanya ziara…

Read More

MHE. WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI  AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MISRI

 Mhe Liberata Mulamula baada ya mkutano na Mhe. Sameh Shoukri, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Misri, alifika Ubalozini na kuzungumza na wafanyakazi ambapo aliutaka uongozi…

Read More

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ziarani nchini Misri

Mhe.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza kwenye Mkutano wa Waandishi wa Habari baada ya kikao cha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Sameh Shoukry tarehe…

Read More

H.E Samia Suluhu Hassan visits Egypt

H.E Samia Suluhu Hassan, President of United Republic of Tanzania met her counterpart President Abdel Fatah al-Sisi of Egypt on her on a three-day State visit in Egypt. They agreed on expanding…

Read More
Mhe.Balozi Anselm Bahati akiongea jambo na Wataalamu wa TEHAMA pamoja na maafisa wa ubalozi Cairo ,Misri

Kikao kazi baina ya Balozi na wataalamu wa TEHAMA kutoka Wizara ya Mambo ya Nje

Mhe. Balozi Anselm Shigongo Bahati amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA  Dkt. Isaac F.Kalumuna kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki juu ya namna bora…

Read More