News and Resources Change View → Listing

KAIMU BALOZI NCHINI MISRI ATEMBELEA KIWANDA CHA KORRA TRADE

Mkuu wa Utawala ambaye pia ni Kaimu Balozi Ndg. Makame Iddi Makame akiambatana na Ndg. Rashid Haroun - Mwambata Siasa, Nd.  Athumani Thabit – Mwambata Fedha na Bi. Nimpha E. Marunda – Mwambata…

Read More

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MISRI KUTAFUTA WAWEKEZAJI

Mkuu wa Utawala (HOC) ambaye pia ni Kaimu Balozi Ndg.  Makame Iddi Makame,  -akiambatana na maafisa wa Ubalozi Bw. Thabit A. Othuman, Mwambata Fedha  na Bi. Nimpha E. Marunda, Mwambata Utawala -…

Read More

Republic of Tanzania declares Marburg Virus Disease (MVD) Outbreak

Dear Citizens and International CommunityOn 16th March, 2023, the Ministry of Health released preliminary press on the presence of unknown disease that was later confirmed to be Marburg Virus Disease (MVD)…

Read More

Dkt Nchimbi apokea Salamu za Pongezi kwa niaba ya Mhe. Rais Samia

Rais Abdel Fattah El Sisi ametuma salamu za kumtakia kheri Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia Siku ya Muungano wa Tanzania.Katika salaam hizo zilizowasilishwa kwa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi siku ya…

Read More

SHEREHE ZA MUUNGANO ZAFANA JIJINI CAIRO

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Cairo, Misri ukiongozwa na Balozi Dr Emmanuel Nchimbi uliandaa sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanzania tarehe 26 April 2023, sherehe hizo ziliandaliwa kwa…

Read More

Taifa Stars yajiweka nafasi nzuri

Timu ya Taifa Stars ya Tanzania imeshinda goli 1 kwa 0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Uganda katika mashindano ya kufuzu kuingia mashindano ya Klabu Bingwa Afrika (AFCON2023).Mechi hiyo ilichezwa katika uwanja wa…

Read More

Mhe. Balozi Nchimbi apokea ujumbe Kutoka Benki ya CRDB  (CRDB Bank PLC)

Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi Balozi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri leo tarehe 22 Machi, 2023 ametembelewa ofisini kwake na ujumbe kutoka Benki ya CRDB uliopo nchini Misri kwa ajili ya…

Read More

Ziara kampuni ya AllMed Middle East Co.

Siku ya tarehe 20 Machi, 2023 Maafisa wa Ubalozi, ndg. Makame Iddi, Mkuu wa Utawala na ndg. Rashid Haroun, Mwambata Siasa, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi…

Read More